Biashara
EWURA kuzifutia leseni kampuni tano za mafuta
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusudio la kuzifutia leseni kampuni tano za utoaji huduma za mafuta ...Petra Diamond yatangaza kuuza mgodi wa almasi uliopo Shinyanga
Kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na uchimbaji wa madini ya almasi, Petra Diamonds imetangaza kuuza mgodi wake wa almasi uliopo nchini Tanzania. Kampuni ...Sekta ya mawasiliano ya simu inavyoweza kuboresha ubunifu wa kiteknolojia Tanzania
Dismas Mafuru, UDSM Katika miaka ya hivi karibuni serikali ya Tanzania ikishirikiana na sekta binafsi imechukua hatua mbalimbali kuimarisha uchumi. Nyingi ya ...Mchimbaji mdogo aibuka na mawe ya Tanzanite yenye thamani ya bilioni 7.8
Kuna msemo wa Kiswahili ambao husema “Mtafutaji Hachoki,” na wengine huongezea kuwa akichoka ujue kapata. Huo ndio msemo unaoweza kutumika kuelezea hali ...Makubaliano yaliyofikiwa na Tanzania na Uganda kuhusu madereva wa malori Mpaka wa Mutukula
Usafiri wa malori kati ya Tanzania na Uganda katika Mpaka wa Mutukula umerejea kufuatia nchi hizo mbili kufikia makubaliano juu ya hatua ...Mtandao wa WhatsApp wazindua huduma ya kutuma na kupokea fedha
Baada ya miezi kadhaa ya mazungumzo na majaribio, mtandao wa WhatsApp umezindua huduma ya malipo kupitia programu tumishi hiyo. Mtandao huo wa ...