Biashara
Benki ya Dunia, na Tanzania zatofautiana viwango vya ukuaji wa uchumi
Uchumi wa Tanzania unatarajiwa kukua kwa asilimia 5.8 mwaka 2020 ikilinganishwa ukuaji wa asilimia 5.6 mwaka huu, ambapo ukuaji unatarajiwa kuongezeka hadi ...Serikali yaziagiza halmashauri zilizokopa benki za kibiashara kurudisha fedha hizo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo,amezitaka halmashauri zote nchini kutoa taarifa Ofisini kwake ...Teknolojia na ubunifu wa kampuni za simu unakuza biashara nchini
Ni jambo lililo wazi kuwa, teknolojia ni msingi wa maendeleo ya biashara nyingi. Kuanzia kwenye mifumo ya kupokea malipo, kulipa wafanyakazi, kuhifadhi ...Tigo yatangaza kuungana rasmi na Zantel
Dar es Salaam. Novemba 4, 2019. Kampuni ya Mawasiliano ya MIC Tanzania Public Limited Company (Tigo), leo imetangaza rasmi kuungana na kampuni ...Vodacom Launches Smart Kitochi, Tanzania’s First Smart Feature Phone Powered by KaiOS
1st November 2019 – Vodacom Tanzania PLC, Tanzania’s leading cellular network company, has today announced the launch of the first smart feature ...Tigo yaingiza sokoni ‘Kitochi 4G Smart’ ’ yenye uwezo wa 4G kwa bei nafuu
Dar es Salaam. Oktoba 31, 2019. Kampuni inayoongoza katika mageuzi ya kidigitali nchini, Tigo, leo imezindua simu yenye sifa zasmartphone ‘‘Kitochi 4G Smart’ ya kwanza ...