Biashara
Mapato sekta ya madini yaweka rekodi
Hatua za serikali kuhakikisha Watanzania wananufaika na rasilimali za nchi yao na kuongeza mapato zimeanza kuzaa matunda licha ya kupingwa vikali hapo ...Serikali yaeleza sababu ya kuiwekea 'kikwazo' mizigo inayoingia kutoka Zanzibar
Serikali imetolea ufafanuzi kuhusu kitendo cha mizigo inayoingizwa kutoka Zanzibar kuja Tanzania Bara kuwekewa vikwazo, sawa na mizigo nayoingizwa kutoka nchi nyingine, ...Dereva Taxi kizimbani kwa 'kumteka' Mo Dewji
Dereva Taxi, Mousa Twaleb (46) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumanne Mei 28, 2019 akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo ...Msimamo wa Serikali kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo
Na Grace Semfuko, MAELEZO MKURUGENZI na Msemaji Mkuu wa, Dkt. Hassan Abbas amesema Serikali inaendelea na majadiliano kuhusu kuendelea na ujenzi wa ...Serikali yakanusha Prof. Kabudi kuhusika na mkataba wa Kampuni ya Indo Power Solution
Na: Frank Shija – MAELEZO, Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara, Joseph Kakunda amekanusha shutuma zilizotolewa kuhusu ushiriki wa Waziri wa Mambo ...Mambo 12 unayohitajika kuyaacha ili ufanikiwe haraka
Mara nyingi tumekuwa tunafanya mambo yetu kana kwamba tuna muda mwingi sana. Kwamba kesho nayo siku, hili ni kosa kubwa sana. Iwe ...