Biashara
Kenya yakubali yaishe; safari za ndege zarejeshwa
Mamlaka ya anga ya Kenya imekubali Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kufanya safari zote za ndege za mizigo kwa mujibu wa ombi ...Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar azindua Mikopo ya Boti za Uvuvi ya NMB
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amezindua huduma ya mikopo nafuu ya boti za kisasa za uvuvi na ...Kenya: Bodaboda waishtaki Serikali kwa kutotekeleza ahadi iliyowaahidi kwenye kampeni
Katika hatua isiyokuwa ya kawaida, waendesha pikipiki (bodaboda) kutoka jijini Malindi wameamua kuchukua hatua ya kisheria dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, ...Tanzania yazuia uagizaji soya na mbengu za mahindi toka Malawi
Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuadudu (TPHPA) imepiga marufuku uagizaji wa soya na mbegu za mahindi kutoka Malawi kufuatia uchambuzi wa ...Malawi yapiga marufuku uagizaji mahindi toka Kenya na Tanzania
Malawi imezuia uagizaji wa mahindi kutoka Kenya na Tanzania kwa sababu ya wasiwasi wa kuenea kwa ugonjwa hatari wa Mahindi, Lethal Necrosis ...