Biashara
Tanzania na Romania zakubaliana kukuza biashara
Rais Samia Suluhu Hassan amesema moja kati ya mambo waliyojadiliana na Rais wa Romania, Klaus Iohannis ni kuimarisha biashara kati ya mataifa ...Malawi kudhibiti biashara ya fedha za kigeni baada ya sarafu yake kuporomoka
Malawi imetangaza hatua mpya za kudhibiti biashara ya fedha za kigeni na kupambana na wafanyabiashara wa magendo baada ya thamani ya sarafu ...Afrika inapoteza TZS quadrilioni 2 kila mwaka kwenye kilimo
Ingawa kilimo mara nyingi huchukuliwa kama msingi wa uchumi wa nchi nyingi za Afrika, kikichangia zaidi ya theluthi moja ya Pato la ...Kenya yapokea uwekezaji wa zaidi ya TZS bilioni 600 kutoka Dubai
Kenya imepokea uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni (FDI) kutoka Dubai wenye thamani ya dola milioni 253 [TZS bilioni 631.9] kwa ...Uwanja wa KIA warudishwa serikalini baada ya miaka 25
Serikali imetangaza leo kuwa hatimaye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) utakabidhiwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ...