Biashara
Afrika inapoteza TZS quadrilioni 2 kila mwaka kwenye kilimo
Ingawa kilimo mara nyingi huchukuliwa kama msingi wa uchumi wa nchi nyingi za Afrika, kikichangia zaidi ya theluthi moja ya Pato la ...Kenya yapokea uwekezaji wa zaidi ya TZS bilioni 600 kutoka Dubai
Kenya imepokea uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni (FDI) kutoka Dubai wenye thamani ya dola milioni 253 [TZS bilioni 631.9] kwa ...Uwanja wa KIA warudishwa serikalini baada ya miaka 25
Serikali imetangaza leo kuwa hatimaye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) utakabidhiwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ...Uganda kupitisha mafuta Bandari ya Dar es Salaam baada ya kushindwana na Kenya
Serikali ya Uganda na kampuni ya Vitol Bahrain E.C. yenye makazi yake Bahrain, wamechagua bandari ya Dar es Salaam kwa ajili ya ...NMB yaingia makubaliano kuwezesha mashirikiano baina ya Serikali na sekta binafsi Zanzibar
Benki ya NMB imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na Idara ya Mashirikiano baina ya Sekta za Serikali na Sekta Binafsi (PPP) iliyopo ...