Biashara
Waagizaji na Wasambazaji wa mafuta wakanusha upotoshaji unaosambazwa mitandaoni
Chama cha Waagizaji na Wasambazaji wa Mafuta Tanzania (TAOMAC) imekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinazodai kuwa kimekaa kikao na Mamlaka ...Wawekezaji 10 wanaoongoza kwa mtaji mkubwa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE)
Ripoti za kampuni zinaonesha kuwa watu kumi wana utajiri unaokadiriwa kuwa zaidi ya TZS bilioni 208 katika makampuni yaliyoorodheshwa kwenye Soko la ...Wamiliki wa maghala waihakikishia Serikali kuna mafuta ya kutosha nchini
Kutokana na taarifa zilizosambaa kuhusu uhaba wa mafuta nchini, Wamiliki wa maghala ya mafuta wameihakikishia Serikali uwepo wa mafuta ya kutosha kwa ...Zambia na Falme za Kiarabu zasaini makubaliano ya uchimbaji madini
Zambia imesaini makubaliano kadhaa ya ushirikiano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) katika hafla iliyofanyika Ikulu ya nchi hiyo na kuhudhuriwa ...Malawi yakabiliwa na uhaba wa mafuta, nauli zapanda
Malawi inakabiliwa na uhaba wa mafuta unaopelekea misururu mirefu ya magari katika vituo vya mafuta yanayosubiri kwa saa kadhaa na wakati mwingine ...Afrika Kusini kubinafsisha shughuli za bandari kwa kampuni ya Ufilipino
Afrika Kusini inakusudia kubinafsisha shughuli za bandari katika mpango wa muda mrefu ili kuboresha shughuli na kuongeza ufanisi kutokana na bandari hizo ...