Biashara
UAE yaingia makubaliano na DR Congo katika uchimbaji wa madini
Ujumbe wa maafisa wa Umoja wa Falme za Kiarabu umesaini mkataba wa ushirikiano wenye thamani ya dola bilioni 1.9 [TZS trilioni 4.6] ...Ndege za ATCL hatarini kukamatwa
Kituo cha Kimataifa cha Usuluhishi wa Migogoro ya Uwekezaji (ICSID) kimeiamuru Tanzania kulipa dola milioni 109.5 [TZS bilioni 266] kwa kampuni za ...India na UAE zaingia makubaliano ya kutumia fedha ya India katika biashara
India na Umoja wa Falme za Kiarabu wameingia makubaliano ambayo yanaruhusu biashara kati ya nchi hizo mbili kufanyika kwa kutumia sarafu ya ...EWURA: Nchi ina mafuta ya kutosha, yawaonya wanaoficha
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeutaarifu umma kuwa nchi ina mafuta ya kutosha katika maghala ya kuhifadhia ...Vodacom Yazindua Kampeni ya ‘Biashara Pamoja, Tuamini Sisi’, katika maonyesho ya 47 ya Saba Saba
Katika kutekeleza adhma yake ya kutumia ubunifu wa kidigitali kuongeza ufanisi kwenye shughuli mbali mbali ikiwemo zile za kibiashara, kampuni ya mawasiliano ...Majibu 8 kuhusu programu mpya ya ‘Threads’ inayoshindana na Twitter
‘Threads’ ndiyo programu inayoongelewa zaidi kwa sasa kutoka kwa mmiliki wa kampuni ya Meta, Mark Zuckerberg na kuzusha mjadala mkubwa ikiwa programu ...