Biashara
‘Lipa ChapChap’: Benki ya Exim Yaja na Mapinduzi ya Malipo Kidijitali
Benki ya Exim Tanzania imechukua hatua madhubuti katika kuunda mustakabali wa malipo ya kidijitali kwa kuzindua ‘Lipa ChapChap’, suluhisho la malipo yasiyotumia ...Majaliwa: wafanyabiashara endeleeni kuwa na imani na Rais Samia
WaziriMkuu, Kassim Majaliwa amezitaka jumuiya za wafanyabiashara nchini kuendelea kuwa na imani na Rais Samia Suluhu Hassan kwani amedhamiria kutatua changamoto zinazohusu ...PUMA Energy yawataka wakazi wa Dodoma kuchagua nishati safi kuchochea maendeleo ya kijamii na kiuchumi
Kampuni ya Puma Energy Tanzania imezindua PumaGas jijini Dodoma, hatua inayoonyesha dhamira yake katika kuhakikisha suluhisho la nishati nafuu na ya uhakika ...Ripoti: Marekani yathibitisha kundi hatari la Mexico lilikuwa na maabara ya dawa za kulevya Kenya
Serikali ya Marekani imethibitisha kuwa kundi hatari la uhalifu kutoka nchini Mexico, Jalisco New Generation Cartel (CJNG), lilikuwa likiendesha maabara kubwa ya ...Benki ya Exim Yazindua Huduma ya Lipa ChapChap Kuongeza Malipo ya Kidijitali na Ushirikishwaji wa ...
Dar es Salaam, Machi 11, 2025 – Benki ya Exim Tanzania imezindua rasmi huduma yake mpya inayojulikana kama Lipa Chapchap, suluhisho bunifu ...Benki ya Exim Yaandaa Futari Kuimarisha Uhusiano wa Kijamii
Benki ya Exim Tanzania imeandaa futari maalum jijini Dar es Salaam, ikikusanya pamoja Wateja wake, viongozi wa dini, na wadau wakuu kwa ...