Biashara
Waziri Mkuu: Hatuwezi kutoa umiliki wa bandari kwa kampuni yoyote
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ndiyo iliyopewa mamlaka na haki ya umiliki wa maeneo yote ya bandari ...Wateja wa TotalEnergies kurudishiwa 10% kupitia ushirikiano na LIPA KWA M-PESA
Dar es Salaam – Juni 21, 2023. Kupitia dhamira ya kuendeleza mfumo wa maisha wa kutotumia pesa taslimu nchini, huduma ya M-Pesa ...Rais Samia awapa Machinga kiwanja na milioni 10 kujenga ofisi
Shirikisho la Umoja wa Machinga wilayani Kahama mkoani Shinyanga limekabidhiwa kiwanja chenye hatimiliki pamoja na TZS milioni 10 ambazo zimetolewa na Rais ...SBL yakabidhiwa tuzo na Waziri Mkuu kwa uwekezaji kwenye miradi ya maji safi
Kutoa ufadhili kwa miradi ya maji kwa lengo la kuleta afueni katika maeneo yanayokabiliwa na uhaba wa maji nchini, imekuwa moja ya ...Serikali: Marufuku taasisi kufungia biashara
Serikali imependekeza kuanzia Julai 1, mwaka huu iwe ni marufuku kwa taasisi yoyote ya Serikali kufunga biashara, ofisi ama maeneo yoyote ya ...Singida Big Stars yauzwa kwa Fountain Gate
Uongozi wa Singida Big Stars umefanya maamuzi ya kuiuza timu hiyo kwa wamiliki wa Fountain Gate ambapo sasa timu hiyo imebadilishwa jina ...