Biashara
Mapendekezo matatu ya Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, kuhusu muundo wa kampuni ya uendeshaji ...
Chama cha ACT- Wazalendo kimetoa mapendekezo kwa serikali kuhusu suala la mkataba wa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na Dubai juu ...Faida 14 Tanzania inazotarajia kupata ikiingia mkataba wa uendelezaji wa bandari na DP World
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeeleza faida ambazo Tanzania itanufaika baada ya bunge kupitisha azimio la mkataba baina ya Serikali ...Ifahamu DP World kampuni inayotaka kusimamia Bandari ya Dar
DP World ni kampuni ya kimataifa ya usafirishaji iliyoko Dubai, Falme za Kiarabu, iliyojikita na usafirishaji wa mizigo, shughuli za bandarini na ...TPA yakanusha kuipa DP World uendeshaji wa Bandari ya Dar kwa miaka 100
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Serikali imepanga kuipa kampuni ya DP World ...Rais Samia aahidi kufanyia kazi ununuzi wa ndege nyingine ya mizigo
Rais Samia Suluhu ameahidi kufanyia kazi ombi lililotolewa na Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), kuongeza ndege moja kubwa ya mizigo ikiwa ni ...Masharti ya Benki Kuu Tanzania kwa wanaofanya biashara ya fedha za kigeni
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amepiga marufuku taasisi zinazofanya biashara ya fedha za kigeni na madalali wa kimataifa wa ...