Biashara
TPSF: Adhabu za kufungia maeneo ya biashara itolewe na mahakama
Kufuatia Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), kufungia jumla ya baa na kumbi za starehe 89 baada ya ...Waziri Bashe: Rais Samia ameipaisha Sekta ya Kilimo kimataifa
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema ni dhahiri kuwa chini ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu ...Mkurugenzi aliyedaiwa kuuza viwanja kwa bilioni 1 ‘atumbuliwa’
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Sekiete Yahaya Selemani kuanzia Aprili 16,2023. Taarifa iliyotolewa ...Poda ya watoto ya J&J yadaiwa kusababisha saratani
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linachunguza uwezekano wa kuwepo sokoni poda za wawatoto zinazotengenezwa na kampuni kubwa ya dawa ya Marekani ya ...Kenya: Mawaziri kubinafsisha Mashirika ya Umma bila idhini ya Bunge
Baraza la Mawaziri limeidhinisha Muswada wa Ubinafsishaji wa mwaka 2023 ambao utabatilisha sheria ya ubinafsishaji ya mwaka 2005 unaotoa mamlaka kwa hazina ...Afrika Kusini kununua umeme kutoka Tanzania
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema Afrika Kusini inafikiria kununua umeme kutoka nchini Tanzania ili kusaidia katika kutatua tatizo la nishati ...