Biashara
Ndege mpya ya mizigo kuwasili nchini muda wowote
Serikali imesema muda wowote kuanzia sasa ndege mpya ya mizigo inatarajiwa kuwasili nchini ikiwa ni kati ya ndege mpya tano zikiwemo za ...Sakata ndege za ATCL lachukua sura mpya, waishitaki Airbus wakitaka fidia
Sakata la ndege mbili za Airbus A220 za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kutofanya kazi limefika katika Shirikisho la Mashirika ya Ndege ...Rais aridhia wafanyabiashara wapya kutolipa kodi kwa muda wa hadi mwaka mmoja
Rais Samia Suluhu Hassan ameruhusu wafanyabiashara wanaoanza biashara kutolipa kodi kwa kipindi cha miezi sita hadi mwaka mmoja. Hayo yamesemwa na Waziri ...Kenya yazuia uingizaji wa maziwa ya unga
Kenya imeweka zuio la muda usiojulika la uingizaji maziwa ya unga kutoka nje ya nchi ili kuwalinda wafanyabiashara wa ndani na wakulima ...Madanguro 324 yapo kwenye makazi ya watu Kinondoni
Mstahiki Meya wa Kinondoni, Songoro Mnyonge amewataka wamiliki wa nyumba zilizogeuzwa madanguro wajisalimishe ambapo amedai kwa Mwananyamala, Msasani na Uwanja wa Fisi ...Bei ya mafuta yapanda. Hizi ni bei mpya kwa mikoa yote kuanzia Machi 1, 2023
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/02/Cap-prices-wef-1-March-2023-English_.pdf” title=”Cap prices wef 1 March 2023 – English_”]