Biashara
TPA yakanusha kuipa DP World uendeshaji wa Bandari ya Dar kwa miaka 100
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imesema taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuwa Serikali imepanga kuipa kampuni ya DP World ...Rais Samia aahidi kufanyia kazi ununuzi wa ndege nyingine ya mizigo
Rais Samia Suluhu ameahidi kufanyia kazi ombi lililotolewa na Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL), kuongeza ndege moja kubwa ya mizigo ikiwa ni ...Masharti ya Benki Kuu Tanzania kwa wanaofanya biashara ya fedha za kigeni
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Emanuel Tutuba amepiga marufuku taasisi zinazofanya biashara ya fedha za kigeni na madalali wa kimataifa wa ...TCAA kusajili ‘drones’ zote kielektroniki
Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imezindua mfumo mpya wa kielektroniki ili kutoa urahisi kwa watu wanaorusha ndege zisizokuwa na rubani ...Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa ufanisi
Bandari za Dar es Salaam, Djibouti na Berbera zimeipita Bandari ya Mombasa katika orodha iliyotolewa hivi karibuni na Benki ya Dunia juu ...Tanzania yafikia makubaliano kuanza uchimbaji wa gesi asilia (LNG) Lindi
Baada ya majadiliano ya muda mrefu kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kampuni za uchimbaji wa mafuta na ...