Biashara
Kampuni ya Adani yakanusha ripoti iliyotolewa na Marekani
Shirika la Kimataifa la India limesema ripoti ya madai iliyotolewa dhidi ya makampuni yake na Taasisi ya Utafiti ya Hindenburg yenye makao ...Waziri Bashe: Acheni kilimo cha Twitter na WhatsApp
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amewatahadharisha Watanzania kuachana na njia za mkato kwenye kilimo ili kuepuka utapeli unaoendelea kupitia mitandao ya kijamii ...LATRA: Tutawafungia madereva wa Uber na Bolt wanaofanya udanganyifu wa nauli
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imewataka watumiaji wa huduma ya usafiri wa mtandaoni kutoa taarifa haraka kwenye mamlaka hiyo wanapofanyiwa udanganyifu ...TRA: Tozo ya kitanda nyumba za kulala wageni sio utaratibu mpya
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo amesema utaratibu wa ukusanyaji wa kodi ...Waziri Bashe: Tanzania haiko tayari kutumia mbegu za GMO
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kwa sasa Tanzania haipo tayari kutumia mbegu zilizobadilishwa vinasaba (GMO) pasipo kujua undani wake, badala yake ...Mauzo ya nyama nje ya nchi yaongezeka kwa asilimia 21
Mauzo ya nyama nje ya nchi kwa kipindi cha Julai 15 hadi Desemba 15 mwaka jana yameongezeka na kufikia tani 5,158 sawa ...