Biashara
Waziri Mkuu: Rais Samia anataka kuona biashara zinafanywa kwa uhuru
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema lengo la Rais Samia Suluhu Hassan ni kuona kila mfanyabiashara nchini anafanya shughuli zake kwa uhuru na ...Waziri Mkuu aiagiza TRA kusitisha kikosi kazi cha kukusanya kodi Kariakoo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kusitisha mara moja utaratibu wa kikosi kazi (Task Force) kwenye makusanyo ya ...TRA: Ukamataji unafanyika tunapofanya ukaguzi kujiridhisha
Kufuatia malalamiko yanayotolewa na wafanyabiashara wa soko la Kariakoo kuhusu kamata kamata inayofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), mamlaka imeeleza kuwa ...TPSF: Adhabu za kufungia maeneo ya biashara itolewe na mahakama
Kufuatia Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), kufungia jumla ya baa na kumbi za starehe 89 baada ya ...Waziri Bashe: Rais Samia ameipaisha Sekta ya Kilimo kimataifa
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema ni dhahiri kuwa chini ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita ya Rais Samia Suluhu ...Mkurugenzi aliyedaiwa kuuza viwanja kwa bilioni 1 ‘atumbuliwa’
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Sekiete Yahaya Selemani kuanzia Aprili 16,2023. Taarifa iliyotolewa ...