Biashara
Dawa bandia za nguvu za kiume zakamatwa Geita
Mamalaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa Magharibi imekamata dawa bandia za kuongeza nguvu za kiume zinazotumiwa na vijana ...DART kuongeza mabasi mengine 117
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umeweka wazi kuwa kwa sasa imejipanga kuongeza mabasi mengine 177 kutokana na yaliyopo kutotosheleza mahitaji ya ...Bei mpya za mafuta kwa mikoa yote kuanzia Oktoba 5, 2022
Bei ya mafuta zilizotolewa na EWURA kwa Oktoba 2022 zimeshuka baada ya ruzuku ya Serikali, ambapo petroli imetoka TZS 2,969 hadi TZS ...Geita: Wachimbaji wadogo wakiri kutumia waganga kujua eneo lenye madini
Na. Costantine James, Geita. Wachimbaji wadogo wa madini mkoani Geita wametakiwa kuachana na imani potofu ya kwenda kwa waganga wa jadi kuchinja ...Meridianbet waongoza zoezi la usafi Upanga
Kampuni ya meridianbet imeongoza zoezi la usafi katika maeneo ya bustani inayomilikiwa na serikali Upanga, Mtaa wa Charambe. Serikali ya mtaa wa ...Meridianbet Waishika Mkono Hospitali ya Madale kwa Kuwapa Vifaa
Dar-es salaam: Kampuni ya Meridianbet Tanzania, Jumatatu hii tarehe 26 Septemba 2022, walitembelea hospitali ya Madale na kutoa vifaa vya usafi ...