Biashara
TRA: Tozo ya kitanda nyumba za kulala wageni sio utaratibu mpya
Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo amesema utaratibu wa ukusanyaji wa kodi ...Waziri Bashe: Tanzania haiko tayari kutumia mbegu za GMO
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema kwa sasa Tanzania haipo tayari kutumia mbegu zilizobadilishwa vinasaba (GMO) pasipo kujua undani wake, badala yake ...Mauzo ya nyama nje ya nchi yaongezeka kwa asilimia 21
Mauzo ya nyama nje ya nchi kwa kipindi cha Julai 15 hadi Desemba 15 mwaka jana yameongezeka na kufikia tani 5,158 sawa ...Petroli yashuka, dizeli yapanda bei mpya kuanzia Januari 4, 2023
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2023/01/Cap-Prices-Publication-wef-4-January-2023-English.pdf” title=”Cap Prices Publication wef 4 January 2023 English”]LATRA yatangaza bei mpya ya nauli
Mamlaka ya Udhibiti wa usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza ongezeko la nauli za mabasi ya mwendokasi jijini Dar es Salaam zitakazoanza kutumika siku ...Wakulima wadai baadhi ya mawakala wanaficha mbegu za ruzuku
Wakulima wa mikoa ya Songwe na Mbeya, wamelalamikia kitendo kinachofanywa na baadhi ya mawakala kuficha mbolea ya ruzuku, hali inayowaletea usumbufu mkubwa. ...