Biashara
Gwajima: Machinga wanaorudi barabarani wanatumiwa na wafanyabiashara wakubwa
Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima ametoa onyo kwa baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wanaowatumia wamachinga ...Fursa 6 za kibiashara zinazoweza kukupa utajiri
Afrika ni bara lililojaa fursa nyingi za biashara zinazoendeshwa na rasilimali zilizopo, teknolojia na masoko makubwa. Hakika kuna nafasi kwa mamilionea zaidi ...Serikali kurahisisha gharama za ununuzi wa gesi
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali inakamilisha utaratibu wa kumwezesha mteja kununua gesi kwa bei ndogo kulingana na mahitaji yake. Waziri ...Agizo la Serikali kwa ATCL kuhusu nauli za ndege
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete ameitaka Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) kutazama upya suala la nauli za ndani ili kuwavutia abiria ...Serikali yahamasisha vijana kunywa pombe
Shirika la kitaifa linalosimamia ushuru nchini Japan (NTA), limeandaa shindano maalum la kitaifa ili kupata mawazo yatakayosaidia vijana wengi kuwa na hamasa ...Taarifa ya TANESCO kuhusu kukosekana kwa huduma ya LUKU
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewatarifu wananchi kuwa watakosa huduma ya LUKU kutokana na kuwepo kwa matengenezo kinga kwenye kanzi data ya ...