Biashara
Tozo ya ving’amuzi yashuka
Serikali imepunguza kiwango cha tozo za ving’amuzi kwa kiwango cha shilingi 500 hadi shilingi 2000, itakayokuwa ikitozwa kupitia malipo ya vifurushi. Ameyasema ...Rais Samia asema Royal Tour imetoa fursa za kibiashara kwa wanawake
Rais Samia Suluhu Hassan amesema filamu ya Royal Tour imesaidia kutoa fursa za biashara kwa wanawake wajasiriamali na kuwawezesha kujiinua kiuchumi, hivyo ...Unahisi makampuni mengine ya simu yataweza kuipiku INFINIX NOTE 12 VIP?
Leo tuangazie simu mpya na bora ya Infinix NOTE 12 VIP, na mwishowe tutajua ni kwanini ununue Infinix NOTE 12 VIP badala ...Thamani ya maiamala ya simu kwenye Pato la Taifa yafikia 66%
Thamani ya miamala ya simu katika pato la Taifa (GDP) imepanda kutoka asilimia 40 kwa mwaka 2013 hadi asilimia 66 kwa mwaka ...Uhamiaji: Tumewatambua wanaohujumu uwekaji mipaka Loliondo
Idara ya Uhamiaji imesema wamewatambua watu ambao wamehusika na hujumu katika zoezi la uwekaji wa mikapa katika Pori Tengefu la Loliondo mkoani ...Orodha ya kampuni 5,200 ambazo ziko hatarini kufutwa na BRELA
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/06/BRELA-Kufuta-Kampuni-Ambazo-Hazioneshi-Kuendelea-Kufanya-Biashara-MD-Mendez.pdf” title=”BRELA – Kufuta Kampuni Ambazo Hazioneshi Kuendelea Kufanya Biashara – MD, Mendez”]