Biashara
Serikali yazihimiza benki kupunguza riba ili wananchi wanufaike na mikopo
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa benki nchini kuendelea kubuni madirisha maalum ya mikopo kwa vijana na wanawake ambao ...Ukweli kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM Kwa ufupi; Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo. ...Tani 1,000 za sukari isiyofaa kwa matumizi yaingizwa sokoni Kenya
Mdhibiti Mkuu wa Shirika la Viwango vya Kenya (KEBS) na maafisa wengine 26 wa serikali nchini Kenya wamesimamishwa kazi kutokana na kuingizwa ...Waziri Mkuu: Rais Samia ana lengo la kuwawekea mazingira bora wafanyabiashara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ina lengo la kuwawezesha na kuwasimamia ...Serikali yaunda tume kushughulikia changamoto za wafanyabiashara
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameunda tume yenye watu 14 saba kutoka Serikalini na wengine wakiwa ni wafanyabiashara kutoka sehemu mbalimbali nchini ambao ...Mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo aomba msaada wa polisi wanaohamasisha mgomo
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendela kwa wafanyabiashara wa Soko hilo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi ...









