Biashara
Ripoti ya Kifedha ya Exim Bank 2024 Yaonesha Mafanikio Makubwa na Ubunifu wa Kifedha
Dar es Salaam, Tanzania: Benki ya Exim Tanzania imetoa ripoti yake yenye matokeo mazuri ya kifedha kwa mwaka ulioishia tarehe 31 Desemba ...Rais Samia: Baadhi ya machinga Kariakoo tutawahamishia Jangwani
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inajipanga kujenga soko jingine kubwa kama la Kariakoo katika eneo la Jangwani, Dar es Salaam kupitia ...Madereva wa malori kutoka Tanzania wakwama DRC kufuatia machafuko
Madereva kadhaa wa malori kutoka Tanzania wamekwama katika mji wa Goma, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), kutokana na machafuko yanayoendelea katika ...Ubia wa Barrick na Twiga umeingizia uchumi wa Tanzania TZS trilioni 10.1
Kampuni ya Dhahabu ya Barrick imeingiza zaidi ya shilingi trilioni 10.1 katika uchumi wa Tanzania tangu kuanzishwa kwa ubia wa Twiga kati ...Vodacom Tanzania Yatajwa Mwajiri Bora Tanzania kwa Mwaka wa Nane Mfululizo
– Nambari 1 Mwajiri Bora Tanzania kwa mwaka 2025. 16 Januari 2024, Dar es Salaam – Kwa mwaka wa nane mfululizo, kampuni ...Waziri Gwajima: Wasio na elimu ya uandaaji wa maudhui mtandaoni waache mara moja
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amekemea ongezeko la maudhui yasiyofaa yanayozalishwa na waandaji wa ...