Biashara
Tanzania yaruhusu raia wa nchi za SADC na EAC kuwekeza kwenye dhamana za Serikali
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kanuni mpya za fedha za kigeni za mwaka 2022 zilizotungwa zinaruhusu wakazi wa Jumuiya ya Afrika ...RC Mtwara atoa saa 48 mmiliki chapa Makonde ajisalimishe
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Brigedia Jenerali Marco Gaguti ametoa saa 48 kwa mmiliki wa kiuatilifu cha Salfa ya unga chapa Makonde ...Onyo la polisi kwa wanaotorosha mifugo nje ya nchi
Kamanda wa Kikosi cha kuzuia wizi wa Mifugo Tanzania, Kamishina Msaidizi wa Polisi, Simon Pasua ametangaza kiama kwa watoroshaji wa mifugo nje ...Waziri Mkuu awaonya wanaotiririsha maji taka
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya utiririshaji wa maji machafu na majitaka kutoka viwandani na kwenye migodi kwani kunachangia kuhatarisha usalama ...Serikali yaruhusu usafirishaji wanyamapori hai nje ya nchi
Serikali imeruhusu usafirishaji wa wanyama pori hai nje ya nchi waliokuwa wamesalia kwenye mazizi na mashamba ya ufugaji baada ya zuio la ...Kampuni ya Scania yapongeza mabadiliko ya uwekezaji nchini Tanzania
Stockholm, Sweden: Kampuni ya Scania imeipongeza Tanzania kwa kuendelea kuchukua hatua mbalimbali za kukabiliana na uharibifu wa mazingira, na kwamba wanavutiwa mabadiliko ...