Biashara
Wakala wa mabasi: Tungeendelea kuwasubiri Latra tungeumia
Wakati Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) ikitangaza mabadiliko ya nauli za mabasi na daladala yatakayoanza Mei 14 mwaka huu, baadhi ...Akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz yafungwa
Akaunti ya YouTube ya mwanamuziki maarufu kutoka Tanzania, Diamond Platnumz imefungwa kwa kukiuka utaratibu na masharti ya mtandao huo. Platnumz ambaye jina ...Ziara ya Rais Samia Marekani yavutia uwekezaji wa trilioni 11
Rais Samia Suluhu ameshuhudia utiaji saini wa mikataba saba kati ya makampuni ya Marekani na Tanzania, yenye thamani ya TZS trilioni 11.7. ...Biskuti yamponza dereva bodaboda
Ivan Cheyo (18), dereva wa bodaboda mkazi wa Vwawa wilayani Mbozi mkoani Songwe, amejikuta akiwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa baada ...Bei ya mafuta kuendelea kupanda kwa miezi miwili
Kamishna wa Gesi na Petroli, Michael Mjinja amesema bei ya mafuta ya petroli nchini inatarajiwa kuendelea kupanda kwa kipindi cha miezi miwili ...Nairobi: Google yatangaza nafasi za kazi zaidi ya 100
Google imetangaza nafasi za kazi zaidi ya 100 nchini Kenya baada ya kufungua kituo chake cha kwanza cha kuendeleza bidhaa (product development ...