Biashara
Chongolo aipa TBS siku saba kukipa ithibati kiwanda cha Masoud Kipanya
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ametoa siku saba kwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kufika katika kiwanda cha ...Serikali kupunguza tozo kwenye usindikaji wa maziwa
Serikali kupitia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki imesema inaangalia namna ya kupunguza utitiri wa tozo kwenye maziwa yanayozalishwa na kusindikwa ...Nauli za Uber na Bolt kupanda
Wakati madereva wa huduma za Bolt na Uber wakiomba LATRA kupandisha bei za nauli ili iwasaidie kufanya kazi kwa faida, wadau wa ...Shabiby aipa serikali mbinu rahisi ya kupunguza bei ya mafuta
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby ameiomba Serikali kubadili utaratibu unaotumika kwa sasa katika uagizaji wa mafuta nchini ili kuepuka changamoto zinazojitokeza mara ...Kenya: Wananchi waiba mafuta ya transifoma na kutumia kupikia
Mamlaka ya nishati nchini Kenya imesema kuwa inapoteza mamilioni ya dola kwa mwezi kutokana na uharibifu wa transfoma zake za umeme ambazo ...Mafuta yapanda bei. Hizi ni bei mpya kwa mikoa yote nchini
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/Cap-prices-wef-6-April-2022-English.pdf” title=”Cap prices wef 6 April 2022 – English”]