Biashara
EWURA: Bei ya mafuta itaendelea kupanda
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imesema kuwa kutokana na uhitaji mkubwa wa mafuta, bei ya mafuta inatarajiwa kuendelea kupanda ...Tanzania kupokea Watalii wengi kutoka Urusi
Ule msemo usemao ‘vita vya panzi furaha ya kunguru’ umejidhihirisha ambapo Tanzania inatarajia kupata watalii wengi siku za hivi karibuni kutokea Urusi ...Mkurugenzi apendekeza bodaboda kutoingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Jumanne Shauri amesema kuwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam lipo katika harakati za kujenga vituo ...Uchunguzi: Basi lililosababisha ajali Morogoro lilikuwa limefungwa vifaa vya ujenzi wa nyumba
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yussuf Masauni amesema kuwa uchunguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi kuhusu basi lililosababisha ajali ...Upinzani Ghana kuipinga tozo ya miamala mahakamani
Upinzani nchini Ghana umesema kwamba utakwenda Mahakama ya Juu kupinga kodi mpya iliyoanzishwa kwenye miamala ya simu. Kodi hiyo mpya ya miamala ...Serikali yafuta tozo 42 kati ya 47 zao la Kahawa
Serikali imefuta tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera, hivyo kubakisha tozo 5 tu ...