Biashara
Mtanzania aja na teknolojia ya kutengeneza barabara za lami kwa udongo
Joseph Katallah, Mtanzania anayeishi nchini Canada kwa kushirikiana na kampuni ya Geopolymer Solutions LLC ya nchini Marekani ameonesha nia ya kuwekeza nchini ...Msamvu: Mpigadebe afariki baada ya kuchomwa kisu na mwenzake wakigombea abiria
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Muslimu amethibitisha kutokea kifo cha Tazani Mdeme, mkazi wa Mwembesongo na mpigadebe wa kampuni ya ...Wakazi wa Magomeni Kota kuanza kuhamia Machi 28
WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA,) imefanyia kazi maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan Machi 23 mwaka huu wakati wa uzinduzi wa ...Nchi 10 zenye gharama kubwa zaidi ya mafuta Afrika
Licha ya kupanda kwa bei za mafuta nchini Nigeria, nchi hiyo si miongoni mwa zile zilizo na bei ya juu zaidi kwa ...Mgodi wa North Mara kuziwezesha kampuni 15 za Kitanzania
Kampuni ya madini ya Barrick Gold Corporation imetangaza kuwa makampuni 15 yatahitimu kutoka kwenye progamu ya kuendeleza biashara za ndani. Programu ...