Biashara
Rais aelekeza viwanda vilivyokufa Morogoro vifufuliwe
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itahakikisha Mkoa wa Morogoro unarudi kwenye hadhi ya viwanda kama ilivyokuwa hapo zamani ili kukuza uchumi ...Rais: Viongozi mnaowalangua wakulima kwenye mpunga hamtendi haki
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wanaofanya biashara ya ununuzi wa mpunga kwa kuwalangua wakulima kuacha tabia hiyo kwani hawawatendei haki wakulima. ...TRC yaomba radhi kwa treni kuchelewa kutokana na hitilafu
Shirika la Reli Tanzania (TRC) imeomba radhi kwa abiria waliosafiri kutoka Dodoma saa 2: 15 usiku kuelekea Dar es Salaam Agosti 01, ...Wafanyabiashara Moshi wafunga maduka kushinikiza ahadi ya Makonda
Wafanyabiashara takribani 150 wenye maduka katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamefunga maduka yao leo Jumanne, Julai 30, 2024, ...Rais Samia: Anayetoa chakula nje ya nchi awe na kibali cha Wizara ya Kilimo
Rais Samia ametilia mkazo kwa wananchi kutosafirisha mahindi nje ya nchi bila vibali vya Wizara ya Kilimo na taratibu nyingine zinazotakiwa kwa ...Mwigulu: TRA wafukuzeni kazi wanaoomba na kupokea rushwa
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda kuwafukuza kazi watumishi wa ...