Biashara
Rwanda yatafakari kuitoza kodi Netflix
Mamlaka nchini Rwanda zinatafakari uwezekano wa kutoza kodi kwenye huduma za mtandao, tovuti ya New Times imeeleza ikimnukuu mmoja wa maafisa kutoka ...Machangudoa Mombasa wagoma kutoa huduma kwa madereva bodaboda
Wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao mjini Mombasa wameungana na wenzao nchini Kenya kulaani vitendo vya udhalilishaji wa kingono vilivyofanywa kwa ...Wananchi 36 wafika Muhimbili wakitaka kuuza figo
Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa ripoti ya takwimu zinazoonesha kupokea maombi ya wananchi 36 walioomba utaratibu wa kuuza figo zao ili kukabiliana ...Rais Samia airuhusu NHC ikope ikamilishe miradi ya Kawe na Morocco Square
Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Allan Kijazi amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameliruhusu Shirika la ...Bei mpya za mafuta kwa mikoa yote kuanzia leo Machi 2, 2022
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/Cap-Prices-for-Petroleum-Products-wef-2-March-2022-Kiswahili-.pdf”] [pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/03/Cap-Prices-for-Petroleum-Products-wef-2-March-2022-English.pdf”]