Biashara
Makampuni ya kimataifa kuwekeza kwenye miundombinu nchini Tanzania
Kampuni ya huduma za majini AD Ports Group imesaini Mkataba wa Maelewano (MoU) na Adani Ports na SEZ Ltd, kampuni kubwa kwenye ...Bei ya mafuta yapanda. Hii ni orodha ya bei kwa mikoa yote kuanzia Agosti 3
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/08/Cap-Prices-Publication-wef-3-August-2022-English.pdf” title=”Cap Prices Publication wef 3 August 2022 English”]BeiMaagizo 9 ya Makamu wa Rais ufunguzi wa Nane Nane
Makamu wa Rais, Philip Mpango amefungua rasmi maonesho ya sherehe za wakulima, wafugaji na wavuvi ‘Nane Nane’ katika viwanja vya John Mwakangale ...Kenya yauza mirungi ya TZS bilioni 4 Somalia ndani ya siku nne
Kenya imeuza mirungi yenye thamani ya TZS bilioni 4.3 nchini Somalia ndani ya siku nne tangu kurejeshwa kwa soko hilo. Mpaka sasa ...Makamba: Tanzania ina gharama nafuu zaidi ya mafuta Afrika Mashariki
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Tanzania ndio nchi inayouza mafuta kwa gharama ndogo zaidi ukilinganisha na nchi nyingine za Afrika Mashariki. ...Benki Kuu kuchunguza sarafu ya kughushi ya TZS 500 inayosambaa mitaani
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeanza kuchunguza sakata la sintofahamu kuhusu sarafu ya shilingi 500 baada ya kuonekana baadhi zikiwa na alama ...









