Biashara
Maboresho ya mitambo kusababisha upungufu/katizo la umeme
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande ametangaza kuwepo kwa mgao wa umeme utakaoanza Februari Mosi hadi Februari 10 ...Nyumba 50 kwenye jengo la Uhuru Heights kuuzwa
Kampuni ya Cosmos Properties ya jijini Dar es Salaam, ambayo ni mmiliki wa nyumba 50 katika jengo la Uhuru Heights iko matatani ...Orodha ya mabilionea barani Afrika. Utajiri wa MO Dewji wapungua
Mlipuko wa janga la Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO19) liliathiri baadhi ya biashara huku kwa upande mwingine likikuza biashara hasa zinazofanyika ...Mbashara: Rais Samia Suluhu akizungumza na viongozi wa Machinga
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam na viongozi wa Machinga. Mazungumzo hayo yanayofanyika Ikulu jijini ...Magari ya mizigo kutozwa ada ya usafi hadi TZS 50,000 kwa siku Ubungo
Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo mkoani Dar es Salaam imetangaza viwango vya kibali cha usafi wa mazingira kwa magari yote yenye uzito ...Tazama mazingira ya shule 10 bora Tanzania mwaka 2021
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne, kidato cha pili, mtihani wa maarifa na darasa ...