Biashara
Waziri Mkuu awaonya wanaotiririsha maji taka
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya utiririshaji wa maji machafu na majitaka kutoka viwandani na kwenye migodi kwani kunachangia kuhatarisha usalama ...Serikali yaruhusu usafirishaji wanyamapori hai nje ya nchi
Serikali imeruhusu usafirishaji wa wanyama pori hai nje ya nchi waliokuwa wamesalia kwenye mazizi na mashamba ya ufugaji baada ya zuio la ...Kampuni ya Scania yapongeza mabadiliko ya uwekezaji nchini Tanzania
Stockholm, Sweden: Kampuni ya Scania imeipongeza Tanzania kwa kuendelea kuchukua hatua mbalimbali za kukabiliana na uharibifu wa mazingira, na kwamba wanavutiwa mabadiliko ...Rais Samia: Kombe la Dunia kutembezwa Tanzania kuna maana kubwa
Rais Samia Suluhu Hassan amewaomba Watanzania kutumia fursa zinazoletwa nchini kuitangaza na kuisemea vizuri Tanzania pamoja na kutumia fursa hizo kibiashira. Ameyasema ...LATRA: Kondakta lazima awe na cheti na asajiliwe
Mkurugenzi wa Mamlaka Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), Johansen Kaatano amesema mamlaka inajiandaa kuwasajili na kuwapa vyeti makondakta wa daladala na mabasi yaendayo ...DR Congo kupiga marufuku RwandaAir kwenye anga lake
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema itasitisha safari za ndege za RwandAir baada ya mamlaka kuishutumu Rwanda kwa kuunga mkono kundi la ...









