Biashara
Waliochangia bilioni 7 za Royal Tour kutajwa
Rais Samia Suluhu Hassan amesema wakati wa uzinduzi wa filamu ya Tanzania: The Royal Tour jijini Dar es Salaam Mei 8 mwaka ...Wafanyabiashara wanaopandisha bei watakiwa kuonyesha risiti
Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Siriel Mchembe amesema kuwa wafanyabiashara wanawagombanisha wananchi na Serikali yao kutokana na kupandisha gharama za ...Wakala wa mabasi: Tungeendelea kuwasubiri Latra tungeumia
Wakati Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) ikitangaza mabadiliko ya nauli za mabasi na daladala yatakayoanza Mei 14 mwaka huu, baadhi ...Akaunti ya YouTube ya Diamond Platnumz yafungwa
Akaunti ya YouTube ya mwanamuziki maarufu kutoka Tanzania, Diamond Platnumz imefungwa kwa kukiuka utaratibu na masharti ya mtandao huo. Platnumz ambaye jina ...Ziara ya Rais Samia Marekani yavutia uwekezaji wa trilioni 11
Rais Samia Suluhu ameshuhudia utiaji saini wa mikataba saba kati ya makampuni ya Marekani na Tanzania, yenye thamani ya TZS trilioni 11.7. ...









