Biashara
Dkt. Kijaji: Tuambieni anayekwamisha utalii na uwekezaji, tutamfanya mfano
Waziri wa Viwanda, Uwekezaji na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji amewasihi watalii na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi wanaokumbana na ...Jiji la Mwanza lajitenga na Mgambo walioharibu bidhaa za Machinga
Halmashauri ya Jiji la Mwanza imewasimamisha kazi Askari Mgambo walionaswa kwenye mkanda wa video wakichukua ndizi mbivu za mjasiriamali na kuzitupa ndani ...Uber yasitisha baadhi ya huduma zake Tanzania
Uber Tanzania imetangaza kusitisha huduma zake za UberX, UberXL na UberX Saver nchini Tanzania kuanzia leo Aprili 14, 2022. Katika taarifa yake ...Chongolo aipa TBS siku saba kukipa ithibati kiwanda cha Masoud Kipanya
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ametoa siku saba kwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kufika katika kiwanda cha ...Serikali kupunguza tozo kwenye usindikaji wa maziwa
Serikali kupitia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki imesema inaangalia namna ya kupunguza utitiri wa tozo kwenye maziwa yanayozalishwa na kusindikwa ...Nauli za Uber na Bolt kupanda
Wakati madereva wa huduma za Bolt na Uber wakiomba LATRA kupandisha bei za nauli ili iwasaidie kufanya kazi kwa faida, wadau wa ...









