Biashara
Shabiby aipa serikali mbinu rahisi ya kupunguza bei ya mafuta
Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby ameiomba Serikali kubadili utaratibu unaotumika kwa sasa katika uagizaji wa mafuta nchini ili kuepuka changamoto zinazojitokeza mara ...Kenya: Wananchi waiba mafuta ya transifoma na kutumia kupikia
Mamlaka ya nishati nchini Kenya imesema kuwa inapoteza mamilioni ya dola kwa mwezi kutokana na uharibifu wa transfoma zake za umeme ambazo ...Mafuta yapanda bei. Hizi ni bei mpya kwa mikoa yote nchini
[pdf-embedder url=”https://swahilitimes.co.tz/wp-content/uploads/2022/04/Cap-prices-wef-6-April-2022-English.pdf” title=”Cap prices wef 6 April 2022 – English”]EWURA: Bei ya mafuta itaendelea kupanda
MAMLAKA ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imesema kuwa kutokana na uhitaji mkubwa wa mafuta, bei ya mafuta inatarajiwa kuendelea kupanda ...Tanzania kupokea Watalii wengi kutoka Urusi
Ule msemo usemao ‘vita vya panzi furaha ya kunguru’ umejidhihirisha ambapo Tanzania inatarajia kupata watalii wengi siku za hivi karibuni kutokea Urusi ...Mkurugenzi apendekeza bodaboda kutoingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala, Jumanne Shauri amesema kuwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam lipo katika harakati za kujenga vituo ...









