Biashara
Makamba aanza na TANESCO na EWURA
Waziri wa Nishati, January Makamba amezitaka Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo, ambazo ni Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Wakala wa Nishati ...Waziri Mkuu aagiza kupigwa marufuku kamba za plastiki
Wizara ya Kilimo imesema inakamilisha sera itakayozuia uzalishaji na matumizi ya kamba za plastiki ikiwa ni mkakati wa kukuza uzalishaji na matumizi ...Taarifa ya serikali kuhusu mali za wamiliki wa Bureau de Change zilizochukuliwa
Serikali imekanusha taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa imewataka wafanyabiashara wote wa maduka ya kubadilisha fedha za kigeni walionyang’anywa vifaa vya, ...Ndugai amtwisha Makamba sakata la bei ya petroli
Spika wa Bunge wa Tanzania, Job Ndugai amemwagiza Waziri wa Nishati, January Makamba kuhakikisha anasimamia vizuri wizara hiyo na kutatua changamoto nyingi ...Mwonekano wa ndani ya ofisi ya Jay-Z
Willo Perron ni moja wa wabunifu wakubwa sana duniani, na kwa muda mrefu amefanya kazi na wasanii wengi hasa kwenye kubuni mitindo ...Mirabaha: Serikali yaanda mfumo wa kutambua nyimbo zinazochezwa redioni
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi amesema mfumo utakaokuwa ukihesabu na kutambua nyimbo zinazochezwa katika vituo ...