Biashara
Uingereza yaipongeza Tanzania wa kuboresha haki za binadamu
Uingereza imeipongeza Tanzania kwa jitihada zake za kuboresha mazingira ya biashara, uwekezaji, haki za binadamu na utawala bora, jambo ambalo limeimarisha ushirikiano ...Takwimu: umaarufu wa Haji Manara katika mtandao wa Instagram waporomoka
Agosti 24 mwaka huu habari kubwa iliyogonga vichwa vya habari katika sekta ya michezo ni ‘usajili’ wa Haji Manara kwenda Yanga, zikiwa ...Wafanyabiashara waruhusiwa kuingiza mbolea kukabili upungufu
Serikali imekiri kuwa kuna upungufu wa mbolea kwa ajili ya shughuli za kilimo nchini na kusema kama mkakati wa muda mfupi wamewaruhusu ...DAR: Machinga wapewa siku 7 kuondoa biashara barabarani
Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametoa muda wa siku saba wafanyabiashara ndogo wanaofanya biashara kwenye njia ...ATCL yazindua ulipaji wa nauli kidogo kidogo (Kibubu)
Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) imeanzisha uataratibu wa kulipia nauli kwa njia ya ‘Kibubu,’ ambapo mwananchi atalipa nauli kidogo kidogo hadi ...Bosi Tigo ‘akataa’ kuongeza mkataba
Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa Tigo Tanzania, Simon Karikari anatarajia kuondoka kwenye kampuni hiyo kufuatia kuamua kutoongeza mkataba, pindi mkataba wake wa ...