Biashara
Rais Samia: Anayetoa chakula nje ya nchi awe na kibali cha Wizara ya Kilimo
Rais Samia ametilia mkazo kwa wananchi kutosafirisha mahindi nje ya nchi bila vibali vya Wizara ya Kilimo na taratibu nyingine zinazotakiwa kwa ...Mwigulu: TRA wafukuzeni kazi wanaoomba na kupokea rushwa
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), amemwagiza Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda kuwafukuza kazi watumishi wa ...NMB: Tuna uwezo wa wa kukopesha bilioni 515 kwa mkupuo mmoja
Hayo yamesemwa na Meneja wa NMB Tawi la Sabasaba, Bi. Kidawa Masoud, katika banda la benki hiyo kwenye Viwanja vya Sabasaba, Barabara ...Rais Samia: Tumedhamiria kutatua changamoto za wafanyabiashara
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyabiashara kutumia Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) kukuza biashara zao pamoja na ...Mashirika 10 ya ndege yanayofanya vizuri zaidi barani Afrika mwaka 2024
Unaposafiri kwa ndege, unataka safari iwe nzuri, isiyo na mawazo, na yenye starehe, pamoja na huduma bora kabisa. Ingawa si kila ndege ...Polisi kuwasaka waliotoa taarifa ya mgomo Kariakoo
Jeshi la Polisi nchini limesema Uongozi wa Umoja wa Wafanyabiashara wa soko la Kariakoo umeeleza kuwa tangazo linalosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ...