Biashara
Rais Samia: Hatuwezi kuunga umeme shilingi 27,000 kwa wananchi wote
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwamba haiwezekani wananchi wote wakaungiwa umeme kwa gharama ya shilingi ya 27,000 kwani gharama za umeme haziko ...Serikali ya Tanzania yatangaza kushuka kwa bei za mafuta
Mamlaka ya Huduma za Udhibiti wa Nishati na Maji (EURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta kwa mwezi Januari 2022 ikilinganishwa na ...Miji 10 Afrika yenye gharama kubwa zaidi ya kuishi
Je! Umewahi kujiuliza itakugharimu shilingi ngapi kuishi katika mji tofauti na ambao unaishi sasa katika nchi yako? Makala hii inaangazia miji 10 ...Wabunge nchini Ghana wapigana kisa tozo kwenye miamala ya simu
Vurugu zimetokea ndani ya ukumbi wa Bunge la Ghana wakati wa mjadala kuhusu pendekezo la serikali la kuweka tozo kwenye miamala ya ...Nchi za Afrika zenye kiwango kikubwa zaidi cha madeni
Afrika kuna jumla ya nchi 54, ambapo 34 kati ya hizo zipo katika orodha ya nchi zinazodaiwa zaidi, Benki ya Dunia (WB) ...Serikali yatangaza sifa 8 za mtu anayestahili kuwa dalali wa nyumba
Serikali imetoa mwongozo wa utendaji kazi wa madalali ambao unamtaka kila dalali wa nyumba, majengo, viwanja na mashamba kusajiliwa, usajili unaotarajiwa kuanza ...









