Biashara
Masauni: Tozo za miamala ya simu siyo jambo geni
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema kodi ya miamala ya simu sio jambo geni nchini kwani huduma ...Rais: Moto Kariakoo umesababisha hasara kubwa
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la ...Wafanyabiashara watakiwa kutoingia Soko la Kariakoo uchunguzi ukiendelea
Waziri Mkuu Kaasim Majaliwa ameipa siku saba za awali tume aliyoiunda kuchunguza chanzo cha moto katika soko la kimataifa la Kariakoo ili ...Mchanganuo wa serikali ulipaji wa mirabaha kwa wasanii
Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Hatimiliki Tanzania (COSOTA), Doreen Sinare amesema mara zoezi la ulipaji mirabaha litakapoanza watahakikisha kila aliechangia kufanikisha kazi ...Vyuo vya IFM na TIA vyatakiwa kubuni vyanzo vipya vya mapato ya serikali
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamadi Yussuf Masauni, amekiagiza Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) na Chuo cha Uhasibu Tanzania ...