Biashara
Rais Samia akutana na bosi wa Barrick Gold, wazungumzia kampuni ya Twiga
Afisa Mtendaji Mkuu wa Makampuni ya Barrick Gold, Mark Bristow amemhakikishia Rais Samia Suluhu Hassan Samia Barrick Gold itaendelea kushirikiana na Serikali ...Wananchi watakiwa kuhakiki usajili laini za simu
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile ametoa rai kwa wananchi kuendelea kufanya uhakiki wa laini za simu kwa ...Ripoti ya CAG yabaini madudu fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ...Jafo: Wamiliki bar, vilabu vinavyopiga kelele jela miezi 6 na kufungiwa biashara
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amewaagiza wamiliki wa kumbi za starehe na burudani kuhakikisha ...Tanzania yakanusha kuruhusu kilimo na matumizi ya bangi
Serikali imesema kuwa haijaruhusu matumizi na kilimo cha bangi, na hivyo kuwataka wananchi kujikita katika kilimo cha mazao mengine yenye tija. Msimamo ...Rais aiagiza BoT kujiandaa na matumizi ya sarafu za kimtandao (cryptocurrency)
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Benki Kuu ya Tanzania kujiandaa na matumizi ya safaru za kimtandao (cryptocurrecy/blockchain), kwani huenda ikafika wakati mabadiliko ...