Biashara
Rais Samia akerwa na kauli ya waziri wake kuhusu sukari
Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza kukerwa na kauli ya waziri wake aliyoitoa kuhusu uingizaji wa sukari nchini kutoka Uganda. Rais amesema hayo ...Rais Museveni kuikabidhi serikali shule aliyoijenga wilayani Chato
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amewasili nchini Tanzania leo Jumamosi Novemba 27, 2021 kwa ziara ya siku tatu na kupokelewa na mwenyeji ...Rais Samia asema Safina ya Nuhu iliishia Tanzania
Kutokana na idadi kubwa ya wanyama na vivutio vya kitalii vilivyopo nchini, Rais Samia Suluhu Hassan amesema inaaminika kwamba Safina ya Nuhu ...Sumu za kuulia nzi kwenye mabucha zinavyosababisha Saratani
Bodi ya nyama nchini imepiga marufuku matumizi ya sumu za kuulia nzi na wadudu wengine kupulizwa kwenye mabucha wakati nyama ikiwemo ndan ...Wizi wa Tanzanite washamiri Mererani
Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa ametoa wiki mbili kwa Taasisi za Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ...Rais Samia: Mgao wa maji na umeme vimetokana na ubishi wa binadamu
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa kupungua kwa kina cha maji katika maeneo mbalimbali nchini kunachangiwa na sababu kuu mbili ambazo ni ...








