Biashara
Serikali yawataka Watanzania kuongeza ulaji wa nyama
Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited (NARCO) imetoa wito kwa viongozi wa mikoa nchini kujenga utaratibu wa kufanya matamasha ya ulaji ...Uingereza kuleta wawekezaji wa biashara na utalii nchini Tanzania
Serikali ya Uingereza imesema itawashawishi zaidi wafanyabiashara wa Uingereza kuwekeza katika sekta ya bishara na utalii nchini Tanzania baada ya kujua vipaumbele ...Serikali ya Tanzania sasa kuagiza mafuta yenyewe kutoka kwa wazalishaji
Kwa mara ya kwanza serikali ya Tanzania imeefika azma ya miaka mingi ya kununua shehena ya mafuta moja kwa moja kutoka kwa ...Tanzania na Marekani zazungumza kuhusu kilimo
Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), ...Rais Samia kuongoza Wafanyabiashara maonesho ya Biashara Dubai (Expo 2020 Dubai)
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania katika kutangaza vivutio vya utalii na fursa za kibiashara na uwekezaji ...









