Biashara
Mwanamuziki ajitoa tuzo za AFRIMMA baada ya kushambuliwa kwa kupigia kampeni chama tawala
Mwanamuziki kutoka Zambia, Slapdee amejitoa kwenye kuwania tuzo za muziki baada ya kushambuliwa na mashabiki kutokana na kutumbuiza kwa kilichokuwa chama tawala ...Makinikia sasa kutosafirishwa nje ya Tanzania
Serikali imesema kuwa imekubaliana na kampuni ya uchimbaji dhahabu ya Barrick (Barrick Gold Corporation) kwamba makinikia yote yatachakatwa hapa nchini badala ya ...Wakulima Lindi wakataa kuuza korosho zao
Wakulima wa korosho katika Kata ya Nachunyu, Halmashauri ya Mtama mkoani Lindi wamekataa kuuza korosho zao (tani 1895.6) kutokana na kutoridhika na ...Waziri Ummy asitisha mfumo mpya ukusanyaji wa ada za maegesho ya magari
Serikali imesitisha kwa muda matumizi ya mfumo wa ukusanyaji wa ada za maegesho ya magari kwa kutumia mfumo wa kieleketroniki unaosimamiwa na ...Rais Dkt. Mwinyi aeleza sababu ya ndege kupokelewa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amesema kuwa leo imekuwa siku ya historia kufuatia tukio la ...









