Biashara
Hizi ndizo ndege zote zilizonunuliwa na serikali tangu 2016
Serikali ya Tanzania leo inapokea ndege mbili mpya aina ya Airbus 220-300 ambazo zitafanya jumla ya ndege zilizonunuliwa tangu mwaka 206 kufikia ...Majaliwa amsimamiza kazi afisa manunuzi aliyejipa zabuni
Waziri Mkuu Kassim amesemamisha kazi Afisa Mipango wa Halamshauri ya Wilaya ya Liwale mkoani Lindi, Omary Chinguile kutokana na ubadhirifu wa fedha ...EWURA: Agizo la Rais Samia lashusha bei ya mafuta
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei mpya za mafuta ya petroli yaliyopita Bandari ya Dar es ...Agizo la Rais Samia la kushusha bei za mafuta
Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo zinazotozwa na taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta hapa nchini zenye thamani ya shilingi ...Waliyozungumza Rais Samia na CEO wa Royal Dutch Shell ya Uholanzi
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Dutch Shell, Ben Van Beurden ameeleza kuwa wanaridhishwa na jinsi Serikali ya Awamu ya Sita ...









