Biashara
Waziri Ummy atoa miezi mitatu vifungashio vya plastiki kuondolewa sokoni
Serikali imetoa miezi mitatu kwa wenye shehena ya vifungashio visivyokidhi viwango vya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) vinaondolewa sokoni. Agizo hilo limetolewa ...WhatsApp yaleta vigezo vipya vya lazima, wanaovikataa kuzuiwa kuitumia
Mtandao wa WhatsApp imewataka watumiaji wake, takribani bilioni mbili duniani kote, kukubali vigezo (terms) vipya vya kutumia programu hiyo, ambavyo vitaiwezesha programu ...Bei ya petroli yapungua, dizeli na mafuta ya taa zapanda
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei ...TCRA yaifungia Wasafi TV kwa miezi sita
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kituo cha televisheni, Wasafi TV, kutokurusha matangazo kwa muda wa miezi sita kuanzia leo Januari 5, ...