Biashara
Serikali yasema haiwatambui waliovunja vibanda vya Machinga, Vingunguti
Serikali imesema kwamba haina taarifa na haiwatambui watu waliohusika kuvunja vibanda vya wafanyabiashara wadogo na kuwajeruhi baadhi ya wafanyabiashara katika eneo Vingunguti ...Fahamu mambo manne yaliyojadiliwa kati ya Rais Samia na Rais wa Benki ya Dunia
Septemba 21, 2021 Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye yupo nchini Marekani kushiriki mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja ...DAR: Wafanyabiashara 45,000 wamefunga biashara na kugeuka Machinga
Wakati serikali ikiwa katika harakati za kutenga maeneo maalum na kuwahamishia wafanyabiashara wadogo, maarufu Machinga kwenye maeneo hayo, imeelezwa kuwa zaidi ya ...Benki ya Dunia yabaini makosa kwenye ripoti za viwango vya ufanyaji biashara
Benki ya Dunia (WB) imetangaza kusitisha kutoa ripoti ya viwango vya urahisi wa ufanyaji wa biashara (Doing Business Report) ambazo zimekuwa zikiagalia ...Mshitakiwa wa 3 kesi ya Rugemalira arejeshwa rumande
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo Septemba 16, 2021 imemwachia huru Mkurugenzi wa VIP na mmiliki mwenza wa ...









