Biashara
Kodi za mabango na majengo zarudishwa halmashauri
Serikali imetoa muongozo mpya ambapo kuanzia sasa kodi za majengo, ushuru wa mabango na vitambulisho vya wajasiriamali vitasimamiwa na wakurugenzi wa halmashauri, ...Serikali yaagiza vifaa vya kukagua magari kutoka Ujerumani
Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe amesema kuwa serikali imeagiza vifaa vya kisasa nje ya nchi kwa ajili ya kufanya ukaguzi ...Waziri Mwambe: Hakuna uhaba wa mafuta ya kula nchini
Waziri wa Viwanda na Biashara, Geofrey Mwambe amewaonya wafanyabiashara wa mafuta watakao pandisha bei ya bidhaa hiyo kinyume na bei elekeze kuwa ...Mchanganyiko wa maji ulivyosababisha vifo vya samaki Ziwa Victoria
Serikali imeeleza kuwa mwanzoni mwa mwezi Januari mwaka 2021, kulitolewa taarifa ya vifo vya samaki aina ya sangara katika Ziwa Victoria nchini ...INFINIX YAPASUA ANGA KUWAFIKIA MASHABIKI WAKE KIMATAIFA;
Kampuni pendwa ya simu Infinix Mobility Limited kwa mwaka wa 2020 ilifanya matamasha mbalimbali yenye kuhusisha zaidi mashabiki (fans) wake. kati ya ...Askari waliofukuzwa kazi Arusha washitakiwa kwa uhujumu uchumi
Askari Polisi watatu na raia watano akiwemo mfanyabiashara maarufu wa madini ya Tanzanite jijini Arusha, Lucas Mdeme (46) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ...