Biashara
TECNO CAMON 16 KUJA KUWAPINDUA WAPINZANI WAKE.
Ni wazi kuwa katika ulimwengu wa simu janja watumiaji hawaridhiki tena na sura nzuri ya simu pekee, Mchanganyiko wa muonekano, pamoja na ...Serikali yaeleza sababu ya bei ya saruji kupanda
Serikali imesema saruji kupanda bei kumechangiwa na mambo kadhaa ikiwa ni pamoja ni baadhi ya viwanda kufungwa kwa ajili ya matengenezo. Akizungumza ...Nigeria kuzifunga akaunti za benki zilizotumika wakati wa maandamano
Benki Kuu ya Nigeria imepewa kibali na mahakama kuzifunga (freeze) akaunti 20 za benki zinazohusishwa kutumika wakati wa maandamano ya kupinga ukatili ...Wafanyabiashara wa vifaa vya mawasiliano ya kielektroniki watakiwa kuomba leseni TCRA
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka watu wote wanaofanya biashara ya uingizaji, usambazaji na uuzaji wa vifaa vya mawasiliano ya kielektroniki kuwa ...JISHINDIE KINGAMUZI NA INFINIX HOT 10 TUPO LIVE PROMOTION
Baada ya uzinduzi wa simu mpya ya Infinix HOT 10 sasa Infinix imekuja na promotion ya Infinix TUPO LIVE, kupitia promotion hii ...Rwanda yaruhusu kilimo cha bangi
Serikali ya Rwanda imeidhinisha kilimo cha bangi kwa ajili ya kusafirishwa nje ya nchi, lakini matumizi yake ndani ya nchi yameendelea kupigwa ...