Burudani
Jay-Z na Diddy wafutiwa kesi ya ubakaji wa binti wa miaka 13
Mwanamke anayejulikana kwa jina la Jane Doe mbaye alidai Sean ‘Diddy’ Combs na Jay-Z walimfanyia unyanyasaji wa kingono miaka 25 iliyopita, ameondoa ...Ally Kamwe, Mazanzala waitwa Kamati ya Maadili TFF
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imewapeleka kwenye Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Afisa Habari wa Yanga ...Ligi Kuu ya NBC kurejea mwanzoni mwa mwezi Februari
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kurejea kwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC katika juma la kwanza la Februari, 2025 ...Sababu za CAF kuahirisha mashindano ya CHAN hadi Agosti 2025
Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) leo limetangaza kuahirisha Mashindano ya Mataifa ya Afrika ya TotalEnergies CAF (CHAN) Kenya, Tanzania, Uganda 2024 ...Bodi yatangaza kusimama kwa Ligi Kuu NBC kwa miezi miwili
Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kusimama kwa michezo ya Ligi Kuu ya NBC hadi Machi 1, 2025 itakaporejea kwa michezo ...Auawa akijaribu kumshambulia msanii jukwaani usiku wa Krismasi
Mwanaume mwenye umri wa miaka 24, anayejulikana kwa jina Anthony Ouma, ameuawa na mashabiki wenye hasira katika klabu ya usiku mjini Bondo ...